Fleva Nite na Dj Bonny Luv ndani ya TMK
Katika Kutanua wingo wa Burudani jijini wiki hii Ijumaa 06/08/2010 Fleva Nite itatoa burudani ndani ya Manispaa ya Temeke katika ukumbi wa TCC Club- Chang'ombe kuanzia saa mbili usiku (8pm) mpaka majogoo.
Karibuni wote.
Latest News
0 comments