Latest News

HONGERA - KILI MUSIC AWARDS




Uongozi wa Hartmann Productions kwa moyo mkunjufu inawapa hongera kampuni ya Tanzania Breweries kupitia bia yao ya Kilimanjaro kwa kufanikisha vema shughuli ya Kili Music Awards mwaka huu .Tunatumaini mwakani mambo yatakuwa mazuri zaidi ya hapa, tunatumia fursa hii kuwapa ushauri wadau wengine wa masuala haya ya Awards wafuate mfano kutoka kwa Kili Music Awards.
Tags:

About author

Curabitur at est vel odio aliquam fermentum in vel tortor. Aliquam eget laoreet metus. Quisque auctor dolor fermentum nisi imperdiet vel placerat purus convallis.

0 comments

Leave a Reply