Latest News

MFALME SIBOKA AKAMILISHA VIDEO MBILI

Mwaamuziki wa nyimbo za asili nchini, Costa Siboka (kulia) akiwa na Malikia Nei (kushoto kabisa) na katikati ni binti Mfalme aitwaye Ailati wakiwa katika moja ya picha kwenye video inayoitwa Nyota ni Nyota huko jijini Mwanza hivi karibuni.

Mfalme Siboka akiwa katika mawe maarufu jijini Mwanza (rock city) maeneo ya Kamanga , picha hii pia inaonekana kwenye video hiyo mpya, kwa nyuma ni Meli ya Mv Victoria ikiwa na Meli Mv Nansio ambazo zote hufanya safari ziwa Victoria.

Hapa Mfalme akiwa na vimwana katika pozi fulani hivi la ki-falme!!! Acha Mfalme aitwe Mfalme, nyota ni nyota!!!

Mfalme Siboka ama Mfalme wa Barimi Extra akiwa kwenye pozi la Ki-Falme huyu ndiye Makirikiri wa Bongo katika nyimbo za Asili Tanzania.
Kwawakati huu msanii huyu anafanya kazi na kampuni ya Hartman Productions ambapo kampuni hiyo ipo mbioni kumtangaza kimataifa.
Tags:

About author

Curabitur at est vel odio aliquam fermentum in vel tortor. Aliquam eget laoreet metus. Quisque auctor dolor fermentum nisi imperdiet vel placerat purus convallis.

0 comments

Leave a Reply