Latest News

MILIONI 58 ZAMNG"OA MRISHO NGASA YANGA


Aliyekuwa mshambuliaji hatari wa timu ya Yanga Mrisho Ngasa, amenunuliwa na timu ya Azam FC ambayo pia inashiriki ligi Kuu nchini kwa dau la milioni 58, mwaka huu timu hiyo imekamata nafasi ya tatu katika ligi hiyo , Ngasa anaweza kuwa mchezaji ghali zaidi kama hakutatokea mchezaji mwingine kununuliwa kwa dau kubwa kama hilo hapa Tanzania.
Hapo awali aliripotiwa kufukuziwa na timu ya jeshi la Rwanda APR lakini hatimaye kitendawili kimeteguka sasa mchezaji huyo ni mali ya Azam FC.
Tags:

About author

Curabitur at est vel odio aliquam fermentum in vel tortor. Aliquam eget laoreet metus. Quisque auctor dolor fermentum nisi imperdiet vel placerat purus convallis.

0 comments

Leave a Reply