Latest News

"HAPPY BIRTHDAY BINTI MACHOZI " :HARTMANN PRODUCTON

Kampuni ya HARTMANN PRODUCTION yamtakia Lady Jay Dee maisha mema yenye amani hasa baada ya kusherekea siku yake ya kuzaliwa hapo juzi..
Hizi ni baadhi ya picha ambazo zilipigwa siku hiyo..
Shukrani kwa Captain Gardner kuniandalia shughuli hii kushirikiana na Esther Ulaya. Asante Marcell kwa kuning'arisha,
Joan Mbwembwe kusimamia kamati ya vinywaji na chakula......na wageni waalikwa wote Asanteni kwa muda wenu kujumuika na mimi nawapenda wote

Martin alifungua Champanyoo, Shaa aliongoza wimbo wa happy b'day

Asanteni wote mlioniletea Zawadi pia mzigo ni mkubwa mno sijaanza hata kuufungua labda nitaanza kesho na kila nitakapokuwa natumia zawadi zenu nita post picha kushukuru tena...

Supa, Marcell, Mustafa, Khadija, Shamim, Marsha, Shyrose, Joan Mbwembwe, kama kuna niliemsahau ataniwia radhi...ila zawadi zimefika na zote ni nzuri na nimezipenda sana

Asanteni fans wote mlionitumia sms kwenye line yangu ya Zantel na fans wote mliotoa wishes zenu Facebook.
Pia Mwamvita Makamba na Bimdo asanteni sana..
Tags:

About author

Curabitur at est vel odio aliquam fermentum in vel tortor. Aliquam eget laoreet metus. Quisque auctor dolor fermentum nisi imperdiet vel placerat purus convallis.

0 comments

Leave a Reply