Latest News

England vs Usa



Hartmann,alex mbaga,abdallah kayugwa wakiwa leicester city,high street, England tayari kuona pambano la England vs Usa katika big screen, kama Mlimani city vile wabongo mko juu.
Walkabout ni pub maarufu sana England kwa sports atmosphere, Hapa ni nj'e watu wanaonekana wanaingia kuona England vs Usa
Hapa Englang fans wakishangilia baada ya goli la kwanza kuingia

Mandigo, Kayugwa, Alex, Sipho, Hartmann wakijichanganya na waingereza katika match yao na Usa, Fifa world cup 2010
England fans wakiangalia England vs Usa ktk big screen Leicester high street
Katika big screen England manager Capello anaonekana kaingia ubaridi baada ya Usa kusawazisha bao na mida inayoyoma...
Tags:

About author

Curabitur at est vel odio aliquam fermentum in vel tortor. Aliquam eget laoreet metus. Quisque auctor dolor fermentum nisi imperdiet vel placerat purus convallis.

0 comments

Leave a Reply