Latest News

MLIMANI CITY SASA KAMA SAUZI!

Baadhi ya mashabiki wa soka wakifuatilia mechi kati ya Brazil na Korea Kaskazini katika eneo la Mlimani City jana usiku lililoandaliwa na kampuni ya Hartmann Productions na kuzaminiwa na Coco-cala ambaye ni mzamini mkuu wa Fifa World Cup 2010.

MASHABIKI lukuki wa soka nchini, usiku wa kuamkia leo waliigeuza Mlimani City kama Afrika Kusini (Sauzi) baada ya kufurika kwenye viwanja hivyo kutazama mechi kati ya timu ya taifa ya Brazil na Korea Kaskazini, mpambano uliomalizika kwa Brazil kuibuka na ushindi wa mabao 2 kwa 1.
...Sisi na waliokwenda Sauzi ngoma droo!!
Hartmann Production na Coca-cola mpango mzima....
Tags:

About author

Curabitur at est vel odio aliquam fermentum in vel tortor. Aliquam eget laoreet metus. Quisque auctor dolor fermentum nisi imperdiet vel placerat purus convallis.

0 comments

Leave a Reply