Latest News

Mnara Maalum wa Ndovu Special Malt Wazinduliwa Jijini Dar es Salaam

                  Uzinduzi wa mnara wa Bia ya Ndovu ukifanyika Julai 23 2010.

Mnara wa bia ya Ndovu Special Malt wenye kuonyesha sehemu ya alama ya mafanikio unavyoonekama mara baada ya kuzinduliwa Julai 23 2010 eneo la Moroco karibu na Nyumba za Polisi Oysterbay.

Meneja wa Bia ya Ndovu Special Malt,Oscer Shelukindo akielezea namna walivyoweza fanikiwa kupata tuzo ya ubora wa bia kutoka kitivo cha upimaji na ubora (Monde Selection) ambao bia ya Ndovu Special Mart iliupata huko nchini ujerumani ambapo kwa kulienzi hilo kampuni ya bia ya TBL iliweza kutengeneza mnara mkubwa katika maeneo ya Moroco jijini Dar es Salaamunaoonyesha mfano wa chupa ya bia hiyo uliozindiliwa rasmi.

Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya bia Tanzania (TBL),Robin Goetzsche akifafanua jambo kuhusu bia ya Ndovu Special Malt huku akiwa ameshika chupa ya kinyaji hicho katika uzinduzi wa mnara wa bia hiyo leo wenye kuonyesha sehemu ya alama ya mafanikio uliopo maeneo ya Moroco jijini Dar es Salaam.

Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya bia Tanzania (TBL),Robin Goetzsche (kati) akigonganisha chupa na Meneja wa Bia ya Ndovu Special Malt,Oscer Shelukindo (kushoto) pamoja na Mpishi Mkuu wa kampuni hiyo,Mzee Gaudence Mkolwe ikiwa ni ishara ya uzinduzi wa mnara wa bia hiyo ya Ndovu Special Malt uliopo Moroco jijini Dar es Salaam.

                                Burudani nayo ilikuwepo.

Source  Food For Thought
Tags:

About author

Curabitur at est vel odio aliquam fermentum in vel tortor. Aliquam eget laoreet metus. Quisque auctor dolor fermentum nisi imperdiet vel placerat purus convallis.

0 comments

Leave a Reply