Kampuni ya RJ imemshusha kwa mara ya pili tena Irene Uwoya Ndikumana nchini Tanzania tayari kwa kuanza kurekodi filam mpya itakayoanza kushutiwa jumatatu ya wiki ijayo.Tayari Irene Uwoya keshawasili nchini na sasa yupo kambini kujiandaa na mzigo huo unaotarajiwa kutingisha tena nchini baada ya ule wa MY DREAM ambao mpaka leo bado unatingisha sokoni,Akiongea kwa niaba ya uongozi wa RJ Blandina Chagula ambaye ndiye Production Manager wa kampuni amesema kuwa kila kitu kinakwenda kama kilivyopangwa na crew nzima ya RJ itaingia mzigoni jumatatu watu watulie waone nini Irene Uwoya atakifanya safari hii baada ya kutikisa vilivyo katika MY DREAM
Irene Uwoya alivyofika nchini kwa mara ya kwanza kuja kucheza MY DREAM akiwa na mdau Inno Bachad
Nje ya ofisi za RJ Company
Hapa akiwa katika shooting ya MY DREAM na Dk Cheni,Safari hii JE?Irene atachuana na kina nani katika mzigo huu tusubiri tuone
Source by Ray the Greatest
0 comments