Latest News

BWAWA LA MAINI OYE!





ankal akiwa na uzi mma wa bwawa la maini kwa ajili ya msimu ujao. Anaishukuru kampuni ya hillview family ya mji wa Kusoma (Reading) huko Ukerewe kwa zawadi hiyo nono ambayo kwa kweli imemfurahisha mno. Hillview family ni mmoja wa wadhamini wakubwa wa Globu ya Jamii. Yaani ile yenye nembo ya awali ya kutangaza kilaji ilikuwa inasumbua wadu wengi kiasi cha kwamba hii inaashiria safari hii bwawa la maini litauza sana ze fulanazzzz.
Bwawa oye!
Hillviewfamily oye!
Tags:

About author

Curabitur at est vel odio aliquam fermentum in vel tortor. Aliquam eget laoreet metus. Quisque auctor dolor fermentum nisi imperdiet vel placerat purus convallis.

0 comments

Leave a Reply