Latest News

Rais Kikwete alipofungua semina ya UVCCM Iringa

Mwenyekiti wa CCM Taifa ,Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwaongoza wanachama wapya wa CCM kutoka katika vyuo mbalimbali Mkoani Iringa kula kiapo cha utaii kwa chama Cha mapinduzi muda mfupi kabla ya kuwahutubia viongozi wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana katika eneo la Ihemi nje kidogo ya mji wa Iringa.Kushoto ni Makamu Mwenyekiti UVCCM Beno Malisa na kulia nia Katibu Mkuu wa UVCCM Bwana Shigela.


Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na baadhi ya viongozi wa UVCCM wanohudhuria mafunzo mafupi ya uongozi huko eneo la Ihemi, nje kidogo ya mji wa Iringa(picha na Freddy Maro)
Tags:

About author

Curabitur at est vel odio aliquam fermentum in vel tortor. Aliquam eget laoreet metus. Quisque auctor dolor fermentum nisi imperdiet vel placerat purus convallis.

0 comments

Leave a Reply