Latest News

JAM SESSION UNPLUGED INAKUJA NA MICHAEL ROSS


Jam session inaandaa ujio wa kimataifa zaidi , kwani hivi karibuni inazinduliwa ndani ya club SUN CIRRO rasmi tarehe 6 juni 2010 , wanafunzi wengi wana jiandaa likizo kuanzia hapo
watoto wengi toka shule tofauti jijini nawanaokaa boding wanajua tayari nini kinacho wasubiri mtaani baada ya mkurugenzi wa KAMPUNI ya HARTMANN kuja na kuleta mwamko mkubwa sana kwenye hii pati ya vijana inayo endelea kila juma 2.

kumbuka kwamba kila juma pili ma supastaa toka fani tofauti dar es salaam wameanza kugonga hodi naku sapoti vijana wao

VICENT KIGOSI *RAY* anaandaa ujio wake juma pili wiki hii 23 /05/2010 baada ya kumaliza mazungumzo na menejimenti ya programu husika ambayo inaendelea ,

kwa mawasiliano zaidi waweza kuwasiliana na menejimenti ya programu nzima kupitia
+255 784 78 2424 / 0714 881 361/ 0784 33 8595.


Tags:

About author

Curabitur at est vel odio aliquam fermentum in vel tortor. Aliquam eget laoreet metus. Quisque auctor dolor fermentum nisi imperdiet vel placerat purus convallis.

0 comments

Leave a Reply