Latest News

Meya wa Jiji la Mwanza mbaroni kwa mauaji

Meya wa Jiji la Mwanza mbaroni kwa mauaji

Jeshi la polisi linamshikilia meya wa Jiji la Mwanza Mstahiki leonard
Bihondo kwa kosa la kuhusika na mauaji ya katibu wa CCM kata ya
Isamilo, Bi Bahati Stephano (50) ambaye aliuawa kwa kuchomwa na kisu
ofisini kwake mtaa wa Nera jijini Mwanza majira ya saa 6:30.

Kamanda wa polisi mkoa wa Mwanza, Simon Sirro, amethibitisha na kusema
alikamatwa jana Uwanja wa Ndege jijini Mwanza akitokea Dar es salaam kikazi.
Tags:

About author

Curabitur at est vel odio aliquam fermentum in vel tortor. Aliquam eget laoreet metus. Quisque auctor dolor fermentum nisi imperdiet vel placerat purus convallis.

0 comments

Leave a Reply