Latest News

MKONO MMOJA & JAM SESSION

Uzinduzi rasmi wa Jam Session utakuwa June 6 Mwaka huu ndani ya Club Sun Cirro Sinza jijini Dar es Salaam ambapo wasanii kibao wa watatumbuiza akiwemo Michael Rose kutoka nchini Uganda,Mhesimiwa Temba TMK, Chege Chigunda ‘Mtoto wa mama Said na wengine kibao.

Pia mratibu wa Mkono mmoja & Jam Session Fredy, alisema kwamba kabla ya uzinduzi huo kutakuwa na shoo ya Uzinduzi wa Albam ya Chege inayokwenda kwa jina la Vita Uwanjani ambapo pia wasanii kutoka nchini Kenya Wahu na Michael Rose wa Uganda watasindikiza uzinduzi huo.
Tags:

About author

Curabitur at est vel odio aliquam fermentum in vel tortor. Aliquam eget laoreet metus. Quisque auctor dolor fermentum nisi imperdiet vel placerat purus convallis.

0 comments

Leave a Reply